Martha Mwaipaja - Mambo Yamebadilika (Official Music Video)
0
0
2 Views·
26 July 2023
In
Gospel Songs
Ni wakati wa kumwambia Mungu asante kwa wema na fadhili zake kwenye maisha yetu kwa sababu ni yeye alibadilisha majira ya kilio kuwa kicheko pamoja na ugumu tuliopitia bado yeye amekuwa mwaminifu sana.Hata kama wewe unapitia magumu inuka na endelea kumsifu Bwana maana makusudi yake kwetu ni makubwa sana.
#MarthaMwaipaja#MamboYaMebadilika#YouTube
Show more
0 Comments
sort Sort By