Martha Mwaipaja - Ni Tabibu (Official Music Video)
0
0
3 Views·
26 July 2023
In
Gospel Songs
Ni tabibu ni wimbo wa tenzi unao elezea mwema wa Mungu kwenye maisha yetu ni kweli tunaweza kuwa tunapitia mambo magumu kwenye maisha yetu lakini bado yeye ndio Tabibu wa karibu kuliko hata watu ambao kwa akili zetu tunadhani kuwa ni msaada kwetu.#MarthaMwaipaja#Tabibu#MusicVideo
Show more
0 Comments
sort Sort By