Martha Mwaipaja - Wangejua (Official Music Video)
0
0
1 Views·
26 July 2023
In
Gospel Songs
Wangejua ni wimbo nilioimba ukiwa na maudhui ya kuzungumzia namna ambavyo Mungua anavyotuwazia mema kwenye maisha yetu tofauti na vile jamii au watu wanvyotuzunguka wanavyoweza kutuchukulia.Kumbuka kuweka maoni yako,kulike pamoja kusubscribe youtube account yanguu hii.
#MarthaMWaipaja#Wangejua#MusicVideo
Show more
0 Comments
sort Sort By