Up next

Mercy Masika - Shule Yako (NIFUNZE)

2 Views· 28 July 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Teach me your ways oh Lord that i may enjoy the goodness of the Lord all the days of my life, teach me to number my days. Dial *811*45#

Song: Shule Yako (Nifunze)
Artist: Mercy Masika
Audio: Teddy B
Video: Steve Hunter
Year: 2017

MERCY MASIKA CONTACTS
Email - info@mercymasika.com
Facebook - https://www.facebook.com/MercyMasikaKE
Twitter - https://twitter.com/MercyMasika
Instagram - https://www.instagram.com/mercymasikamuguro/
Website - https://www.mercymasika.com

SHULE YAKO LYRICS.

Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako, nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako.

Verse 1
Nikiwa nawe kama mwalimu,
ninajua nitahitimu,
nitashinda adui, akileta majaribu,
unitayarishe, unibadilishe,
mtihani nipite, mwito nitimize,
nijue kuandika, niandike maono yangu, nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako, nijue kuongea, nihubiri neno lako oh, kwa watu wako.

[refrain]
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako.

Verse 2
Shule yako hatudanganyi, ni ukweli na uwazi, wanafaunzi hawagomi, mwalimu atujali, unifunze mipango, wote niwaheshimu, Yesu ni mwalimu, Yesu ni mwalimu
nijue kuandika, niandike maono yangu, nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako, nijue kuongea, nihubiri neno lako oh, kwa watu wako.

[refrain]
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako.

Show more

 0 Comments sort   Sort By

Up next