Mgisa Mtebe - MAVAZI YANAWEZA KUBEBA UPAKO WA ROHO MTAKATIFU AU UPAKO WA KISHETANI
0
0
6 Views·
14 August 2023
In
Sermons
Mgisa Wilson Mtebe ni Mwalimu wa Neno la Mungu ; ni
mtotowa pili wa Dr. Wilson Mtebe na Mama Usuli Mtebe
wa Morogoro mjini. Kitaaluma, Mgisa ana shahada ya
kwanza katika Uchumi na Mipango (BSc. In Planing)
Chuo kikuu cha mjini Morogoro. Pia Mgisa ni mwalimu mwenye Diploma kutoka
Chuo cha Ualimu cha Kanisa la kilutheri cha jijini Mbeya.
Mgisa amekuwa akifundisha neno la Mungu kwa ufasaha, katika
Makanisa , Makongamono Vyuo nashule mbalimbali, ndani na nje ya
Tanzania . Huduma hii ya Ualimu aliyopewa na Mungu imekuwa
Baraka nyingi kwa watu wengi.
Mobile : +255 753 497 655
Website: http://www.mgisamtebe.or.tz/
facebook : https://www.facebook.com/Mgisa-Mtebe
Instagram : https://www.instagram.com
Show more
0 Comments
sort Sort By