MITIMINGI # 146 LCC NI SINDANO 3 ZA KUMLEWESHA MWANAMKE YEYOTE.
0
0
5 Views·
10 August 2023
Wanaume wengi wamekuwa wakiwadharau wake zao, kwa kutowaonesha upendo. Lkn Jukumu la Pili la mwaume ni kumpenda mke wake. WAKOLOSAI 3:19.
Mwanamke yeyote yule mbali na wale wanaotaka pesa wanatekwa na vitu vi3 (LCC)
Mch Na Mwl MITIMINGI p. VHM +255 713 18 39 39
Show more
0 Comments
sort Sort By