Up next

MITIMINGI # 181 UKIONA MUME HAKUTUNZI WEWE, HATUNZI FAMILIA - REKEBISHA HAYA

2 Views· 10 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Uzuri wa Mwanamke unaweza kusababisha mwanaume akuoe, akupende. Lakini Tabia ya mke itasababisha Mwanaume Huyo adumu na wewe au muachane.
Hakuna upendo bila ya kutoa, Wanawake wengi sana walio kwenye ndoa hawatunzwi na waume zao. Pesa ya Salon ni wao wenyewe wanajitolea, Nguo wanajinunulia wenyewe wengine hata chakula pia cha familia ni wao wenyewe wanatoa. Ukiona umeolewa na kila kitu unajigharamikia mwenyewe - Jua hakuna upendo hapo.

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. +255 713 18 39 39 (Counseling Psychologists)

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next