MITIMINGI # 563 VITU 7 VYA KUCHUNGUZA UNAPOANZISHA MAHUSIANO NA MTU
0
0
3 Views·
10 August 2023
Sio kila mtu unayehusiana naye ni mtu sahihi wa kukufaa katika mahusiano. Wengine ni feki. Tafakari na chunguza kwa umakini na usahihi.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
Show more
0 Comments
sort Sort By