Up next

MOVIE YA YESU KRISTO HAPA DUNIANI - SWAHILI LANGUAGE / The Story of Jesus.

15 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5
In Sermons

DHAMIRA YETU TOGOLAY24 TV
• Kutoa Habari za Injili na Kijamii
• Kuwa kielelezo cha Imani na Maadili ya Kikristo
• Kukidhi matarajio na mahitaji ya waumini katika Mungu na Mwanawe Yesu Kristo kama sehemu kuu ya maisha yao.
• Kutoa Huduma ya Kiroho kwa Taifa
• Kutoa fursa kwa Mtanzania katika ajira na mafunzo
• Kutoa utayarishaji na vipindi vya hali ya juu vya kuigwa na marafiki, washirika na wenzao na wengine wote watakaotazama Televisheni yetu.
• Kuwa Kiwango cha uhamishaji wa maarifa kwa watazamaji wetu kuhusu mambo yanayowavutia maishani.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next