MPINGA KRISTO YUPO DUNIANI PART ONE: BISHOP GWAJIMA: 15.4.2020
0
0
5 Views·
06 August 2023
KULIOMBEA BARA LA ULAYA
1John 2:18
Shetani nae ana utatu muovu : Joka , mnyama, mpinga Kristo
Ushetani umejengwa kwenye wizarq kama serekali za duniani, lakini wako chini ya shetanj Ule.
Joka ndio mwenye nguvu, amenipa ndogo nabii wa uongo ili aweze kumpa nguvu mpinga Kristo. Shetani ataigq, atageuka kuwa binadamu ili awe mpinga krist. Nabii ya uongo
Mifumo ya Dunia Inategeneza tatizo na inatengeneza suluhisho
Kabla ya mpinga Kristo kutawala duniani kanisa litanyakuliwa kwanza. Kanisa ni watu
Muda huu umekaribia sana , Mungu kuwachukua watu wake
Shetani anataka kuwauwa watu ili watu wafe dhambini .
Show more
0 Comments
sort Sort By