Up next

MSIFUNI MSIFUNI(Skiza code 6930244) - PAPI CLEVER & DORCAS ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP EP

9 Views· 19 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

#PAPI_CLEVER_DORCAS
#MSIFUNI
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP

Audio Producer : Papi Clever
Video Director : MUSINGA
D.o.p ; Musinga, Kayitare, Chrispen , Cyusa
Video Editor : Cyusa
colorist : Cyusa
location ; Musanze - Rwanda

Number 249
NYIMBO ZA WOKOVU

1
Zamani mjini mwa Yerusalemu - In the past in the city of Jerusalem
waisrael’ waliabudu - Israelites worshiped
Wakristo wa sasa wanakusanyika - Today's Christians gather
kuomba, kusifu Mwokozi - To pray and praise the savior

Msifuni, msifuni Mungu wetu,
Praise him, praise our God,
kwani ametutendea mema!
because he has done us good!
Tutamsifu tu aliyetoka ju’,
We will only praise the one who came from above,
shangilieni Mwokozi mwema!
rejoice in the good Savior!


2
Mwokozi yu nasi, ame’fumbulia - The Savior is with us, he has revealed
uweza wa kutuokoa. - the power to save us.
Na yu mwaminifu, atusikiliza, - And he is faithful, he will listen to us
apenda kutupa baraka. - he wants to bless us.

3
Twaomba baraka na mvua ya mbingu - We ask for blessings and rain
kuithibitisha Injili! - to confirm the Gospel!
Wagonjwa wapone, vipofu waone, - The sick may be healed, the blind may see,
Tupate ‘batizo wa Roho! - Let us receive the baptism of the Spirit!
#kenyagospel
#tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs
Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next