MTETEENI YESU. TENZI ZA ROHONI no; 71, by dinuzeno.
0
0
3 Views·
10 August 2023
In
Gospel Songs
MTETEENI YESU KRISTO ENYI WANA WA MUNGU, VITA NI VIKALI MNO, ILA TUKIWA NA BWANA TUNASHINDA.
NI WIMBO WENYE NGUVU MNOOO. KILA NIKIUIMBA NINAJISIKIA NGUVU MPYA NDANI YANGU.
MTETEENI YESU WANA WA MUNGU.
HUSIACHE KUSAMBAZA KWA WENGINE ILI TUPATE JESHI KUBWA LA KUMSHINDA ADUI.
Subscribe to this channel for more videos.
https://www.dinuzenogospelday.com/
#dinuzeno
Show more
0 Comments
sort Sort By