Naendea Msalaba - Mch. Abiud Misholi (Official Music).
Hear the Message and Share "Naendea Msalaba" (Gospel Song).
#AbiudMisholi#NaendeaMsalaba#
57.NAENDEA MSALABA.
Naendea Msalaba,
Ni mnyonge na mpofu,
Yapitayo naacha,
Nipone Msalabani.
Nakutumaini tu,
Ewe Mwana wa Mungu;
Nainamia kwako;
Niponye, mponya wangu.
Nakulilia sana:
Nalemewa na dhambi;
Pole Yesu asema;
“Nitazifuta zote”.
Natoa vyote kwako,
Nafasi nazo nguvu,
Roho yangu na mwili,
Viwe vyako milele.
Kwa damu yake sasa,
Nimegeuka roho,
Nikaziacha tama
Nimfuate Yesu tu.
Yesu yuaja tena!
Nimepevuka kwake,
Kila chembe kamili;
Msifuni yeye mponya!
KWA MSAADA WA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA KWA ....
Simu - +255754045328
Email - abiudmishori500@gmail.com
SIKILIZA NYIMBO ZA MCH. ABIUD MISHOLI KUPITIA LINK HIZI.....
Boomplay - https://www.boomplaymusic.com/share/artist/48427594?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID
Spotify - https://open.spotify.com/album/4tFQPNEXKYUCLqOd8pZleL?si=HB2WdwFSSTKMRcclMfkNew&utm_source=copy-link
Hungama -
http://www.hungama.com/album/uje-unitoe/89061074