Up next

NAFSI, MWILI NA ROHO - Mwl. Mgisa Mtebe -

3 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

BWANA Yesu anakuja kuchukua Kanisa tukufu, Takatifu, lisilo na ila wala makunyanzi, Kanisa bila lawama (Efe 5:25-27, 1Thes 5:23). Yatupasa kujitakasa kabisa, Roho, Nafsi na Mwili. Lakini mchakato huu wa Utakaso, hauwezi kuwa mkamilifu, bila mhusika kujijua namna alivyoumbwa, yaani kuzifahamu vizuri sehemu Kuu za Mwanadamu, zinazohitaji Utakaso Kamili, yaani Mwili, Nafsi na Roho. Katika SOmo hili, tulijifunza kwanza Kujitambua, ndipo tukajifunza Namna ya Kufanya Utakaso Kamili, ili ajapo Mwana wa Adam, Yesu Kristo, atukute tupo tayari na tupo safi. Unaweza kujipatia DVD na CD za somo hili, kwa Mawasiliano haya; +255753497655. Mungu akubariki. Tafadhali washirikishe na wenzako wengine wengi.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next