NANI KAMA WEWE - Roc Worshiperz and Paul Mwangosi
Nani kama kama wewe ni wimbo wa kumuabudu Mungu umeimbwa na Paul Mwangosi akishirikiana na Roc Worshipers, kwa pamoja walishirikiana kwenye ibada ya Thunder iliyofanyika jumapilia ya tarehe 30/08/2020 kwenye kanisa la Reality Of Christ lililopo Sinza mori Dar es salaam.
Written By: Paul Mwangosi
THUNDER NI IBADA ZINAZOFANYIKA KILA JUMAPILI YA MWISHO KATIKA HUDUMA YA REALITY OF CHRIST MINISTRY (ROC), SINZA MORI DAR ES SALAAM, KUANZIA SAA 9 ALASIRI.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof...
Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch...
Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...
#ROCWORSHIPER #PAULMWANGOSI