NI SIKU KUU SIKU ILE (Lyrics Gospel Song) - TENZI NO. 56.
0
0
2 Views·
10 August 2023
In
Gospel Songs
#GodwillMedia #Nyimbozakuabudu #Tenzi
Ni siku kuu siku ile
Ya kumkiri Mwokozi!
Moyo umejaa tele
Kunyamaza hauwezi
Siku kuu, Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu!
Hukesha na kuomba tu!
Ananiongoza miguu
Siku kuu, Siku kuu
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu......
Show more
0 Comments
sort Sort By