Nimekukimbilia Wewe Bwana - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
Watch,hear the Message and Share "TUMEKUKIMBILIA WEWE BWANA" (Gospel Song).
ZABURI 31: 1-5
1 Nimekukimbilia Wewe, Bwana, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye,
2 Unitegee sikio lako, uniokoe hima. Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Nyumba yenye maboma ya kuniokoa.
3 Ndiwe genge langu na ngome yangu; Kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunge.
4 Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri, Maana Wewe ndiwe ngome yangu.
5 Mikononi mwako naiweka roho yangu; Umenikomboa, Ee Bwana, Mungu wa kweli.
#AbiudMisholi#NimekukimbiliaWeweBwana#
SIKILIZA NYIMBO ZA MCH. ABIUD MISHOLI KUPITIA LINK HIZI.....
Boomplay - https://www.boomplaymusic.com/share/artist/48427594?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID
Spotify - https://open.spotify.com/album/4tFQPNEXKYUCLqOd8pZleL?si=HB2WdwFSSTKMRcclMfkNew&utm_source=copy-link
Hungama -
http://www.hungama.com/album/uje-unitoe/89061074
KWA MSAADA WA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA KWA ....
Simu - +255754045328
Email - abiudmishori500@gmail.com