Nini maana ya wokovu halisi - Mch. Stephen Lukumay
0
0
2 Views·
06 August 2023
Watu wengi wanasema wameokoka siku hizi, lakini je unafahamu maana halisi ya neno wokovu? Katika video hii utakwenda kujifunza kwa undani zaidi nini maana ya wokovu halisi.
Show more
0 Comments
sort Sort By