NITAWAPA UZIMA_Official Video_KMK QUEENS
KMK Queens, wanawakaribisha kuitazama video hii yenye jina la 'NITAWAPA UZIMA'
KMK Queens ni kina dada 14 ambao ni tunda la kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi - DSM ambao wanatumia karama zao katika kumsifu na kumtukuza Mungu.
Hii ni Album yao ya Kwanza wakiwa wameimba sauti zote nne peke yao bila kuwa na sauti za kiume. Usikose kuinunu DVD hii usikilize na kutazama kazi hii.
'NITAWAPA UZIMA' Utunzi wake Musa Charles Mabogo, ndio wimbo uliobeba jina la album yao yenye nyimbo tisa.
KMK Queens, pia wanakaribisha wale wote ambao wangependa kuwa wasambazaji wa kazi hii kufanya mawasiliano nao kupitia namba zilizopo hapa chini.
Wasiliana nao kupitia +255 620 884 852 / +255 719 616 698 / +255 756 937 970 / +255 785 794 452
#kwayakatoliki