Up next

Njia Saba (7) Za Kugundua Kipaji Chako - Joel Nanauka.

0 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Njia Saba (7) Za Kugundua Kipaji Chako :-
1.Njia Ya Kujitathimini (Personal Evaluation).
2.Uliza Watu Wako Wa Karibu (Ask Close People).
3.Toka Eneo Lako La Kuridhika (Step Out Of Your Comfort Zone).
4.Jaribio Linaloweza Kuonyesha Wewe Ni Nani (Personality Test).
5.Jiulize Unapenda Nini Zaidi ?(What Do You Love Most?).
6.Watu Gani Unavutiwa Nao ?(What People Do You Admire Most?).
7.Kitu Gani Ni Rahisi Kwako?(What is Easy For Me?).
Kati Ya Njia Hizo Saba(7),Je Ni Njia Gani Unahisi Unaweza Kuitumia Kugundua Kipaji Chako,Tujadiliane Hapa Chini.
#JoelNanauka#KipajiChako#KugunduaKipaji.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next