Up next

Paul Mwangosi adhihirisha kuabudu hutusogeza karibu sana na uwepo wa Mungu.

4 Views· 03 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Mara nyingi sana wingu la upako na uwepo wa Mungu huwa hushuka na kufurika wakati wa kusifu na kuabudu lakini kila kimoja na mapokeo yake. Hii imedhihirika katika usiku wa mkesha kanisa la KKKT Kariakoo.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next