Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786#
Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yo yote, na katika mambo yo yote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa.Wafilipi 4:12
Nilipita kwenye nyakati za furaha, nilipita kwenye nyakati za kupendwa, kufanikiwa, kuwa na vingi ila kuna nyakati nilipita kwenye nyakati za giza nene. Nyakati za kukataliwa, kukosa, lakini katika kila HALI Mungu alinifundisha kuwa yeye bado atabaki kuwa ni MUNGU tena ndio CHANZO cha UHAI wangu na atabaki kuwa Mungu wa kuabudiwa. Ni maombi yangu Mungu akamrudishe kila mmoja wetu kwenye kiini/CHANZO halisi cha UHAI wetu hata kama tutapitia nyakati ngumu kiasi gani ila tubaki kumpenda,kumuishia na kumuabudu daima maana yeye ni Mungu wa nyakati zote.
Live recorded at: Shillo Studios
Audio captured by: S&M Entertainment
Mixed/Mastered by : Samuel
Video captured by : Upendo Media
Video Edited by: Fredrick Stephano
Video Directed by : Huruma Charles
Music Directed by; Samuel Yonah
Musicians & Vocals:
Channel Administered by Huru Digital
Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/
#RehemaSimfukwe#Chanzo#GospelVideo