Up next

ROHO YANGU INAIMBA (SMSSKIZA 6930250)- PAPI CLEVER & DORCAS ft MERCI PIANIST :MORNING WORSHIP EP

2 Views· 10 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

#PAPI_CLEVER_DORCAS
#roho_yangu
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP

Audio Producer : Papi Clever
Video Director : MUSINGA
D.o.p ; Musinga, Kayitare, Chrispen , Cyusa
Video Editor : Cyusa
colorist : Cyusa
location ; Musanze - Rwanda

You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : Cleverpapi18@gmail.com

Number 35
NYIMBO ZA WOKOVU

1
Nimefika kwake Yesu, Na rohoni mwangu sasa,
jua lake la neema linang’aa kila siku.

Chorus
Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli.
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha.

2
Pepo za neema yake zinavuma ndani yangu,
na mawimbi ya wokovu yananijaliza sasa.

3
Sasa Bwana Yesu Kristo amefanya kao kwangu.
Nimepewa mfariji, Roho ya ahadi yake.

4
«Siku roho afikapo mtajua kwa hakika
kwamba ninakaa kwenu», hivyo Yesu alisema.

5
Kweli, amefika kwetu, sasa yumo ndani yetu.
Ujitoe kwake Mungu, aioshe roho yako!

6
Yesu atakapokuja katita utakatifu,
nitafananishwa naye, nitamshukuru sana.

Chorus 2

Zitakuwa nyimbo nyingi tuta’poingia mbingu,
na milele tutaimba na kusifu Mungu wetu.


#kenyagospel #tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs
Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next