Rose Muhando - Bado (Official Music Video) SMS SKIZA 76310049 TO 811
0
0
2 Views·
28 July 2023
In
Gospel Songs
Je,wewe unataka kuona nini ndio mjue yametimia yale ambayo yaliyo andikwa kwenye maandiko matakatifu kuwa Mungu ndie anaesema.Kwa sababu maarifa ya wenye akili yamefika mwisho pamoja na hekima za wanadamu zimefika mwisho kama ni mapito bado msishangawe maana baragumu la kwanza limekwisha kupiga kanisa lijipange.
#RoseMuhando#Video#Bado
Show more
0 Comments
sort Sort By