Rose Muhando - Siki na Sifongo (Official Video) SKIZA CODE 5965915
0
0
3 Views·
28 July 2023
In
Gospel Songs
Alinyeshwa Sifongo yenye Siki (Luka 23:36 na Mark 15:36 mmoja wao alienda mbio akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha Alipoipokea akakata roho....) Alibebeshwa msalaba mzito sana uliokuwa na uzito wa kilo 74.8, urefu wa mita tatu au nne, na upana wa mita mbili, HIZI ZOTE NI DHAMBI ZAKO NA ZANGU. Katika kipindi hiki cha kwaresma jitafakari sana juu ya matendo yako, Je yanampendeza Mungu...?
Show more
0 Comments
sort Sort By