Round About: Mume wa Muimbaji Martha Baraka AFUNGUKA Kuhusu MAISHA Yao..
Round About: Mume wa Muimbaji Martha Baraka AFUNGUKA Kuhusu MAISHA Yao..
Baraka Lazarious Mwakifuja ambaye ni Mume wa Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Martha Baraka amesema kuwa huduma ya Injili inachangamoto nyingi.
Aidha akizungumza katika kipindi cha Round About Mwakifuja amesema kuwa Fununu zinazozungumzwa kuhusu Familia yake kuachana iachwe kuwa Fununu kwa madai kuwa yeye na mkewe wapo vizuri.
#roundabout
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho