Solomon Mkubwa FT Kigusile - Neno (Official Video)
0
0
2 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Mbingu ni kiti chako cha enzi Baba
Dunia ni mahali pa kukanyanga miguu yako Isaiah 66:1
Nini nikupe kishinde kutii NENO lako
Maana ni NENO lako limeyafanya yote
Sauli alipoasi NENO alipoteza ufalme 1sam 15
Abraham alipotii NENO alipata mwana wa uzee Genesi 18:
Naamani alipotii NENO alitakazwa ukoma 2kings 5
Gehazi alipoasi NENO alipokea ukoma
2kings 5
Maana waheshimu NENO lako kupita jina lako
Ndani ya NENO lako
Kuna laana na baraka Deutr 28:1–2
Katika NENO lako
Kuna uzima na mauti Deutro 28:15-16
NENO ndio siri la mafanikio yako Jere 7:23
NENO lako limeumba mambo yote John 1:3
Pasipo NENO lako hakuna kiliumbwa John 1:3
NENO lako linaumba ata leo
NENo lako
Continues .........
Show more
0 Comments
sort Sort By