Up next

SOMO : Ushindi katika Yesu Kristo (Mch. Abiud Misholi).

2 Views· 02 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

USHINDI KATIKA YESU KRISTO.
Hatimaye mzidi kuwa hodari katika Bwana Yesu na katika uweza wa nguvu zake.............
-Katika Ulimwengu wa roho ufalme wa giza hushindana na watu wa Mungu,lakini kila aliye ndania ya Yesu Kristo amepewa ushindi utokanao na kazi aliyo ifanya Yesu kwaajili yetu.
- Ili kutembea katika Ushindi huu ni lazima kutambua na kukubali haki ambayo tuliipata kwa Yesu Kristo.

EFESO 6:10-18
Hatimaye, Mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake....................................

Mafundisho yaliyo Jaa Neema ya Mungu, Watu kufunguliwa na kupata Uhuru wa kweli.

Fuatilia na pia shirikisha watu wengine Ili kupata baraka zilizo katika mafundisho haya.

KWA MSAADA WA MAOMBI NA USHAURI....
+255754045328

Email - abiudmishori500@gmail.com


SIKILIZA NYIMBO ZA MCH. ABIUD MISHOLI KUPITIA LINK HIZI.....

Boomplay - https://www.boomplaymusic.com/share/artist/48427594?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID

Spotify - https://open.spotify.com/album/4tFQPNEXKYUCLqOd8pZleL?si=HB2WdwFSSTKMRcclMfkNew&utm_source=copy-link

Hungama -
http://www.hungama.com/album/uje-unitoe/89061074

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next