Up next

TENZI NAMBA 80 ~ WAMWENDEA YESU KWA KUSAFIWA || FREE BEAT

4 Views· 10 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

#SUBSCRIBE #LIKE #COMMENT

Contacts Whatsapp +255759683635

Beat By Erick.

LYRICS👇👇👇👇👇


1. Wamwendea Yesu kwa kusafiwa,
Na kuoshwa kwa damu ya kondoo?
Je neema yake umemwagiwa,
Tumeoshwa kwa damu ya kondoo?
Kuoshwa, kwa damu,
Itutakasayo ya kondoo;
Ziwe safi nguo nyeupe mno;
Umeoshwa kwa damu ya kondoo?

2. Wamwandama daima mkombozi
Na kuoshwa na damu ya kondoo?
Yako kwa msulubiwa makazi,
Umeoshwa kwa damu ya kondoo?

3. Atakapokuja Bwana –arusi
Uwe safi kwa damu ya kondoo!
Yafae kwenda mbinguni mavazi
Yafuliwe kwa damu ya kondoo.

4. Yatupwe yaliyo na takataka,
Na uoshwe kwa damu ya kondoo.
Huoni kijito chatiririka
Na uoshwe kwa damu ya kondoo?

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next