Tenzi za rohoni 129 - Karibu na wewe
0
0
3 Views·
10 August 2023
In
Gospel Songs
wimbo huu hakika utakubariki sana
wewe ulie na huzuni unahitaji wimbo huu ili uinuwe imani yako tena
katika hali yoyote ile ya mapito msiba na majaribu ya kila aina ulionayo usiogope Bwana yesu yu pamoja nawe katika kila hali
wimbo huu umewabariki amelfu ya watu duniani kote
nakukaribisha kuusikiliza
nakuomba usisahau ku subscribe
share
comment
like
na pia unaweza tuma sadaka yako ya injili kupitia number
+255782078009 airtel money hapa nchini Tanzania
Mungu akubariki sana
Show more
0 Comments
sort Sort By