TENZI ZA ROHONI - Usinipite mwokozi
0
0
2 Views·
10 August 2023
In
Gospel Songs
SAMMY MURIUKI OFFICIAL.
Pass me not in swahili.
Usinipite Mwokozi,
Unisikie;
Unapozuru wengine,
Usinipite.
Yesu, Yesu, unisikie,
Unapozuru wengine,
Usinipite.
Kiti chako cha rehema,
Nakitazama;
Magoti napiga pale,
Nisamehewe.
Sina ya kutegemea,
Ila wewe tu;
Uso wako uwe kwangu,
Nakuabudu.
U Mfariji peke yako,
Sina mbinguni;
Wala duniani pote,
Bwana mwingine.
@goldenlyricalhymns7278
@worldexplorers104
@3dworldmedialinks577
@kikuyuanimatedproverbs1825
For support, +254721842272 - Samuel Muriuki Ndirangu
Join this channel to get access to perks:
https://www.youtube.com/channe....l/UCgttHgMSJ4E8wX6a_
Show more
0 Comments
sort Sort By