Track = Yesu Ni Mambo Yote = By Pastor Faustin Munishi
0
0
0 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Ya ulimwengu ni sawa kujilisha upepo. Acha kuyasumbukia Tafuta Yesu upate vyote. Itakufaidi nini kuupata ulimwengu wote na uipoteze roho yako milele?
Duniani sisi ni kama maua. Huchanua kisha hunyauka. Lakini ukinyauka duniani siyo mwisho wako. Maisha ya Milele yakungoja. Na Yesu milele Mbinguni, Bila Yesu milele Jehanamu. Chagua Vizuri. Mkubali Yesu upate ya hapa duniani na baadaye uzima wa milele. Amen
Show more
0 Comments
sort Sort By