Up next

Tukio la 7 Kati ya matukio 12 ya kinabii Israeli ya sasa (11-06-2017) - Askofu Sylvester Gamanywa

2 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Tukio la 7 Kati ya matukio 12 ya kinabii yatakayoitikisa dunia ya leo ni kuhusu; " Israeli ya sasa katika Unabii wa Kibiblia wa siku za mwisho ". Israeli ya sasa ni mojawapo ya matukio ya kinabii yaliyokwisha kutimia tangu mwaka 1948 lilipopata uhuru wa kitaifa. Usikose Jumapili hii ya tarehe 11-06-2017. Askofu Sylvester Gamanywa anatarajia kufundisha ujumbe huu.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next