Up next

Tutaimba Hallelujah by Solomon Mkubwa (official Audio)

2 Views· 03 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Watakatifu wote makao yao ni Mbiguni. Shida, taabu na matatizo zote tutawacha hapa duniani. Mbiguni hakuna shida, njaa, matatizo wala magonjwa. Tutaimba na kusherekea pamoja na Malaika, tutakula meza moja na Bwana huku akitupanguza machozi.

Tuimbe huu wimbo pamoja..........

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next