Twamsifu Mungu/Nyimbo za Kristo/Tenzi za rohoni
0
0
4 Views·
10 August 2023
In
Gospel Songs
Fungu 1:
Twamsifu Mungu, Mwana wa Upendo,
Aliye tufia na kupaa juu.
Aleuluya! Usifiwe, Aleluya Amin;
Aleuluya! Usifiwe, utubariki.
Fungu 2:
Twamsifu Mungu, Roho Mtukufu,
Akatufunulia Mwokozi wetu.
Aleuluya! Usifiwe, Aleluya Amin;
Aleuluya! Usifiwe, utubariki.
Fungu 3:
Twamsifu Mwana, aliye tufia,
Ametukomboa na kutuongoza.
Aleuluya! Usifiwe, Aleluya Amin;
Aleuluya! Usifiwe, utubariki.
Fungu 4:
Twamsifu Mungu wa neema yote ,
Aliyetwaa dhambi, akazifuta.
Aleuluya! Usifiwe, Aleluya Amin;
Aleuluya! Usifiwe, utubariki.
Fungu 5:
Tuamshe tena, tujaze na pendo.
Moyoni uwashe moto wa Roho.
Aleuluya! Usifiwe, Aleluya Amin;
Aleuluya! Usifiwe, utubariki.
Show more
0 Comments
sort Sort By