Twende Kwa Yesu Mimi Nawe - Tenzi Za Rohoni - Ken Kisilu (Official music)
0
0
3 Views·
10 August 2023
In
Gospel Songs
Twende kwa Yesu - Tenzi za Rohoni
Rendition by Pastor Ken Kisilu
Audio and Video - Ainesis Records
#tenzizarohoni #hymn
38.Twende Kwa Yesu ( hymn Lyrics)
Twende kwa Yesu mimi nawe,
Njia atwonya tuijue
Imo Chuoni; na Mwenyewe,
Hapa asema, Njoo!
Chorus
Na furaha tutaiona,
Mioyo ikitakata sana,
Kwako, Mwokozi, kuonana,
Na milele kukaa.
”Wana na waje”, atwambia,
Furahini mkisikia,
Ndiye mfalme wetu pia,
Na tumtii, Njoo.
Wangojeani? Leo yupo;
Sikiza sana asemapo;
Huruma zake zikiwapo,
Ewe kijana, Njoo.
Show more
0 Comments
sort Sort By