Up next

Unatawala short clip video (Cover/Paul Mwangosi)

2 Views· 03 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Ukuu wa Mungu hauelezeki, na hasa katika kutawala kwake... Yeye hutawala kote Duniani na Mbinguni. Utawala wake hauna mipaka wala ukomo na yeye hutawala milele yote. Napenda kuutukuza ukuu wake na matendo yake makuu.

So Mungu akubariki kwa kipande hiki kifupi cha wimbo unatawala by Paul Mwangosi.

Cover:

MICC praise team song led by Juma Luchele and Joel Kaema.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next