Up next

UNIONGOZE YESU [BY UPENDO NKONE]

4 Views· 15 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Uniongoze bado nakuhitaji uniongoze yesu kiongozi mwema moyo wangu nakuhitaji niongoze nivuke salama Mungu wangu uniongoze.Ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie usiende mbali nami usiniache pekee yangu Mungu wangu uniongoze
Dunia hii ina mabo mengi sana baba
Sasa dhambi imetawala dunia
Waliookoka wengine wanarudi nyuma
Me napenda nikupendeze Mungu upendezwe nami niyashike maagizo yako unifurahie
Neno lako Yesu likae ndani yangu
Kuna wengine wachanganya Mungu na dunia
Na wengine wanalibadili neno lako
Yesu ukisema na wao pia wanasema
Me nataka nikusikie Yesu ukisema nami
Maana wewe ndio wa thamani maishani mwangu
Nguvu zako yesu zikae ndani yangu
Ni kweli bwana nimekutana na vita kali
Lakini yesu umepigana badala yangu
Wewe umekuwa ni mwamba wa wokovu wangu
Mbele yangu sijui kuna nini unipiganie
Usipokuwa nami sitaweza kitu unishikilie
Natamani sana nione uso wako Jemedari wangu

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next