ZIARA YA HUDUMA KARAGWE | UINJILISTI NA UDIAKONIA
0
0
2 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Wapendwa wetu, tunayo heshima kubwa kuwaletea muhtasari wa ziara ya Kwaya iliyofanyika Karagwe.
Tumemuona Mungu sana kupitia sadaka zenu, upendo wenu, na kujitoa kwenu kufanikisha Huduma hii.
Mungu wa mbinguni, aendelee kuwajaalia na kuwabariki kila mmoja kwa kadiri ya hitaji lake sawa sawa na mapenzi ya Mungu.
Na hii ikawe mbegu njema, tukakue katika kuendelea kuifanya kazi hii, kila mara na mahali popote tutakapo tumwa.
MUNGU WA SIFA ZAKO ASINYAMAZE
#safariyakaragwe #hudumayakaribu #udiakonia #karagwe #kwayayauinjilistikijitonyama #kijitonyamalutheranchurch
Show more
0 Comments
sort Sort By