100% INJILI EPISODE 1 UCHAMBUZI SIKU YA KUTAABIKA ULYANKULU MAPIGANO MAHOJIANO NA ELIPHAZI HABON
0
0
8 Views·
06 August 2023
In
Sermons
Kipindi hiki kipya kabisa kitakua na mfululizo wa vipindi kama hivi kutoka kwenye kwenye hii channel yetu, ni vipindi vyenye maudhui mbali mbali ya injilli kama hiki. kwa leo Tumewaletea wimbo wa siku ya kutaabika pamoja na mahojiona ya moja kwa moja na mwalimu na mtunzi wa wimbo huu Mr Eliphaz Habona kutoka Tabora kupitia njia ya simu karibu uendelee kufuatilia. ili ukutane na vitu Vinne vya msingi alivyovisema Eliphaz
1.HITAJI
2.KANUNI
.3.MASLAHI
4.UTUNZI
Show more
0 Comments
sort Sort By