Uchambuzi: Serikali Inataka Kumnyamazisha Kakobe kwa Kuwatumia TRA?
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itamchunguza kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zakari Kakobe baada ya kutangaza kuwa ana fedha nyingi kuzidi serikali.
Akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam, Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere amesema Tanzania kuna matajiri wengi ambao wanalipa kodi lakini hawana fedha za kuizidi serikali hivyo wameshtushwa na kauli ya Askofu Kakombe ambaye hawana taarifa za ulipaji kodi wake.
Bwana Kichere amesema TRA inafahamu taasisi za dini huwa zina shughuli nyingine za kiuchumi, na hivyo huwenda Askofu Kakobe na yeye kuna shughuli nyingine za kichumi huwa zinampatia hela kiasi kwamba akawa na pesa nyingi kuliko serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kamishna Kichere amemaliza kwa kumtaka Askofu Kakobe kutoa ushirikiano kwa vijana wa mamlaka hiyo pindi watakapomtembelea ili kuweza kujiridhisha kuhusu suala hilo.
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli.