Mbowe: Kakobe ni Shujaa, Viongozi wa Dini Msiogope Kumkosoa Rais Magufuli
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe anazungumza na waandishi wa habari ambapo mbali na mambo mengine amemuunga mkono Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe kuhusu hatua aliyoichukua hivi karibuni ya kuikosoa serikali ya Rais John Pombe Magufuli.
Mbowe pia amezungumzia mambo mengi, ikiwemo suala la wapinzani kubanwa na serikali, kuhusu chaguzi ndogo zinazoendelea na kubwa zaidi kuhusu mustakabali wa siasa nchini.
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..