您已年满 18 岁或以上?
Kwa Watakatifu wote wanaomngoja Bwana ile siku ya mwisho, makao yetu ni mtoni. Mungu akubariki unapoendelea kusikiliza wimbo huu. Bila kusahau support yako kwa ku-subscribe ktk channel yangu. Asante