APOSTLE. JOSEPH MWEBIA -MRADI WA DHAMBI , CHANZO CHAKE NA NAMNA YA KUISHINDA.
0
0
4 Views·
06 August 2023
Dhambi ni Mradi, ni mradi kivipi?
Dhambi ni Bwana, ni Bwana Kivipi?
Dhambi ni Uasi, ni Uasi kivipi?
Dambi ilianzia mbinguni, ilikuaje?
Biblia imeeleza wazi ni namna gani dhambi iliingia , ni wapi ilianzia na ni kwa vipi tunaishiriki na namna ya kuishinda...Ili kujua zaidi fuatilia video hii.
Show more
0 Comments
sort Sort By