ASIFIWE YESU - Godwin Ombeni Ft. Fanuel Sedekia.
0
0
46 Visualizzazioni·
02 Agosto 2023
In
Musica
Asifiwe Yesu ni wimbo mojawapo ya nyimbo katika Album yangu ya Pili iitwayo NIMEKUBALI. Album hii (Audio) niliimba na Rafiki yangu Fanuel Sedekia; Ndiye aliyenitia moyo kwenda Studio kwa mara ya pili.
#GodwinOmbeni#AsifiweYesu#
Mostra di più
0 Commenti
sort Ordina per