التالي

ASIYEBADILIKA NANI? - Jennifer Mgendi

8 المشاهدات· 15 أغسطس 2023
proshabo
proshabo
5 مشتركين
5

#JenniferMgendi #AsiyebadilikaNani #NgommaTz
Kubadilika kwa mwenzi katika Ndoa limekuwa ni jamabo la kawaida ni linaloumiza wanandoa wengi licha ya kwamba ndoa nyingi huanza kwa upendo mkubwa na bashasha za kila namna. Tumtegemee nani asiyebadilika?

Jennifer Mgendi amekuletea wimbo huu kukukumbusha kuwa asiyebadilika ni Mungu pekee ambaye nidiye aliye tegemeo sahihi kwa mwanadamu. Ukiwa katika shinda na kuona mwenzi wako amebadilika mlilie Mungu kwa Imani naye atakusikia.
©2019 Administered by Ngomma VAS Limited.

أظهر المزيد

 0 تعليقات sort   ترتيب حسب


التالي