次に

ASKOFU GAMANYWA ATOA SALAMU ZA SIKU KUU YA PENTEKOSTE

2 ビュー· 06 8月 2023
proshabo
proshabo
5 加入者
5

Kuja kwa Roho Mtakatifu
Wakati ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. Kukaja ghafla toka mbinguni sauti kama mvumo wa upepo mkali ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.

もっと見せる

 0 コメント sort   並び替え


次に