Askofu Gwajima akiwasha Bungeni
0
0
6 Visningar·
06 Augusti 2023
Mbunge wa Kawe (CCM) Josephat Gwajima akichangia maoni yake kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2023/2024 leo Jumanne, Mei 2, 2023.
Visa mer
0 Kommentarer
sort Sortera efter