Bishop Dr. Jangalason-Pokea Heshima (Official Video)
0
0
0 المشاهدات·
01 أغسطس 2023
في
Sermons
Huu ni wimbo katika ile Album mpya, ya No Jesus No Life. Unaitwa Pokea Heshima. Tafadhali, Subscribe, na kushare kwa marafiki zako. Tuijaze anga kwa nyimbo zinazomtukuza Mungu wetu, Mungu Mkuu, Mungu wa kweli, Mungu Jehovah. Mtunzi na Muimbaji ni mimi Dr Charles Jangalason, Askofu Mkuu HOFAN Ministries.
أظهر المزيد
0 تعليقات
sort ترتيب حسب