Bishop Sylvester S. Gamanywa - Passover Certificate (SW)
0
0
1 Views·
06 August 2023
Naitwa askofu mkuu Sylvester Gamanywa wa makanisa ya WAPO mission international, nafurahi kukukaribisha katika jukwaa langu jipya la SADAKA network, ukifungua katika tovuti yangu utapata ujumbe maalum kwa ajili ya maaadhimisho ya pasaka na cheti maalum ambacho ni zawadi yangu kwako na familia yako, karibu katika SADAKA network.
Show more
0 Comments
sort Sort By